skip to main |
skip to sidebar
HOTUBA YA RAIS KIKWETE MWISHO WA MWEZI JULY, AMJIBU KAGAME
- Asema, serikali anayoiongoza itakuwa ya mwisho kufanya kitendo au vitendo vibaya dhidi ya Rwanda au nchi yoyote jirani
- Asisitiza “two wrongs do not make a right”.
- Akumbusha kuwa Ushauri si shuruti, ushauri si amri. Una hiyari ya kuukubali au kuukataa bila kutukana wala kusema maneno yasiyostahili.
SOURCE JAMII FORUM
No comments:
Post a Comment