Saturday, 27 July 2013

TAIFA STRS YABWGWA NA UGANDA 3-1

3-14Wababe wa Tanzania Uganda Cranes wakishangilia ushindi.
Na Mahmoud Zubeiry, Kampala,
NDOTO za Tanzania kucheza Fainali za pili za michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN), zinazohusisha wachezaji wanaocheza ligi za nchini mwao pekee, zimezimika leo baada ya kufungwa na Uganda mabao 3-1 kwenye Uwanja wa Mandela, Namboole mjini hapa.
Kwa matokeo hayo, Tanzania inayofundishwa na kocha Mdenmark, Kim Poulsen imetolewa kwa jumla ya mabao 4-1, baada ya wiki mbili zilizopita kufungwa 1-0 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!