Wednesday 3 July 2013

MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA, PAMOJA NA WAKE WA MARAIS WAFANYIKA KATIKA HOTEL YA SERENA JIJINI.


Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete, wakizungumza na Rais wa Zamani wa Marekani Bw George W Bush, katika kikao  cha Marais kinachoendelea kufanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar-es-Salaam.

Mke wa Rais Obama Michelle Obama, akiwa pamoja na Mke wa Rais wa zamani wa Marekani Bi Lawra Bush, wakiwa na Mwenyeji wao Mama Salma Kikwete, katika mkutano huo wa wake wa Marais, mara kabla ya Rais Barrack na Michelle Obama kuondoka nchini.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!