Mwezi wa Ramadhan waumini wengi wa dini ya kiislaamu wanashauriwa kubadilisha mwenedo wa maisha yao na angalau kuutumia mwezi huu kutenda mambo mema. Hii ni list na picha za watu maarufu ambao wamebadilika kabisa hasa kwenye upande wa mavazi. Angalia muonekano wa watu hawa zamani na sasa mwezi wa Ramdhan. ni kitu kizuri kuheshimu mambo ya dini kama hawa walivyofany. Lakini haya mabadiliko ni makubwasana. Picha moja inamuonyesha star huyu akiwa na muonekano wake wa siku zote na nyingine jinsi alivyo hivi sasa mwezi wa Ramadhan.
Nargis Mohamed |
Diamond Platnumz |
Wema Sepetu |
Shilole |
Lulu |
Ommy Dimpoz |
Shetta |
Romie Jones |
Odama wa bongomovie |
Batuli wa bongomovie |
Recho |
No comments:
Post a Comment