Friday 26 July 2013

JUST IN .......MWANAUME APIGWA RISASI ENEO LA TEGETA

 
  Wananchi wakibeba mwili wa marehemu baada ya kuuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana.
Mwanaume mmoja ambaye hakujulikana jina lake mara moja, muda mfupi uliopita ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana eneo la Tegeta jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, wauaji ni wanaume wawili waliokuwa katika pikipiki aina ya Bodaboda
Marehemu alikuwa akishuka kwenye gari lake aina ya Toyota Mark 11 yenye namba za usajiri T 508 ADY ndipo alipopigwa risasi kadhaa......TUTAENDELEA KUWAFAHAMISHA ZAIDI KUHUSU TUKIO HILI LA KUSIKITISHA......

GPL.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!