Friday 26 July 2013

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete awaenzi Mashujaa wa Vita vya Kagera

 

8D6U4510Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiambatana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis Mwamunyange akisalimiana na Mzee David Musuguri katika makaburi ya Mashujaa wa vita vya Kagera huko Kaboya, wilayani  Muleba Mkoani Kagera Jumamosi. Chini wakiweka shada la maua katika mnara wa Mashujaa hao Mkuu wa Majeshi Davis Mwamunyange akiweka shada la maua kwenye mnara wa Mashujaa wa Viya ya KageraAmiri Jeshi Mkuu akiweka shada la maua katika mnara wa mashujaa wa Vita ya Kagera8D6U4710 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wananchi wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa iliyofanyika huko Kaboya mkoani Kagera Jumamosi hii.
Rais Jakaya Kikwete awaenzi Mashujaa wa Vita vya KageraRais Jakaya Kikwete awaenzi Mashujaa wa Vita ya KageraRais Jakaya Kikwete awaenzi Mashujaa wa Vita vya Kagera
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiambatana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis Mwamunyange wakikagua baadhi ya Makaburi ya Mashujaa wa vita vya Kagera huko Kaboya, wilayani  Muleba Mkoani Kagera

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!