Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ,Askofu wa Jimbo Kuu la Mwanza Yuda Thadei Ruwaichi (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Evarest Ndikilo wakitazama baadhi ya vitu vilivyohifadhiwa kwenye moja ya mabanda ya kituo cha utamaduni cha wasukuka cha Bujora Juni 2, 2013. Mheshimiwa Pinda alizindua. Sherehe hizo.
Mtoto Gosebert Bwera wa kikundi cha Utamaduni cha Ukerewe akionyesha ufundi wa kupiga ngoma katika uzinduzi wa sherehe za utamaduni wa Wasukuma maarufu kwa jina la Bulabo zilizozinduliwa na Waziri Mkuu , Mizengo Pinda, Bujora Mwanza Juni 2, 2013.
Baadhi ya washiriki washiriki wa uzinduzi wa sherehe za utamadunini wa Wasukuma maarufu kwa jina la Bulabo zilizozinduliwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenye kituo cha Utamaduni cha Wasukuma cha Bujora mkoani Mwanza Juji 2, 2013 wakila vyakula vya asili vya kabila hilo. (Picha na Ofisi ya Waziri MKuu)
No comments:
Post a Comment