skip to main |
skip to sidebar
WATU WATANO WAFARIKI DUNIA BAADA YA MALORI MATATU KUPATA AJALI MASEYU MOROGORO.
WATU watano wamefariki dunia baada ya kutokea kwa ajali ilihusisha magari matatu katika eneo la Maseyu tarafa ya Mikese katika barabara kuu ya Dar es Salaam-Morogoro katika tukio lililotokea majira ya saa 1:45 usiku wa Juni Mosi mkoani hapa.
No comments:
Post a Comment