Sunday 30 June 2013

RAIS AWANDALIA MARAIS HAFLA YA KITAIFA YA CHAKULA.


Rais Kikwete akiwa na Rais wa Uganda Yoweri Museven, King Mswati wa Swaziland, na Mwenyekiti wa IPP Bw Reginald Mengi, katika hafla ya Chakula alichokiaandaa Mhe, Rais Kikwete kwa wageni kutoka nchi mbalimbali ambao wapo nchini Mdahalo wa kimataifa wa ushirikiano wa maendeleo ya Sayansi na Teknologia kwa manufaa ya wote(GLOBAL SMART PARTNERSHIP DIALOGUE)  Hafla hiyo ya chakula ilifanyika kwenye viwanja vya Gymkana.

Rais akiongoza Viongozi na Wageni mbalimbali katika kuserebuka (kucheza muziki) muziki uliokuwa ukiporomoshwa na wasanii wa kikundi cha THT, jijini Dar-es-salaam.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!