Sunday 30 June 2013

MASANJA MKANDAMIZAJI, SHILOLE WAKWEA PIPA KUELEKEA WASHINGTON DC MAREKANI......

Wasanii Masanja Mkandamizaji na Shilole wakikwea pipa kuelekea Washington, DC kwenye sherehe ya miaka 3 ya Vijimambo na Tamasha la Utamaduni wa Kiswahili Marekani litakalofanyika Julai 6, 2013 kuanzia saa 4 asubuhi (10:00 am) na Rais Mustaafu Ali Hassan Mwinyi ndiye atakayekuwa mgeni wa rasmi. Mhe. Ali Hassan Mwinyi anatarajiwa kufika Washington, DC siku ya Alhamisi Julai 4, 2013

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!