Hatimaye mwanadada Elizabeth Michael a.k.a Lulu amefanya interview yake ya kwanza tangu Lulu atoke jela.
Katika kipindi hicho kitakachorushwa hivi karibuni lulu ameongelea mambo mengi sana hasahasa experience yake ya maisha ya jela na mambo yalivyokuwa baada ya kuingia uraiani, kipindi cha takribani mwaka mmoja na nusu toka atoke jela.
No comments:
Post a Comment