Redd´s miss Tabata 2013, Doris Molel akipunga mkono kwa shabiki wake muda mfupi baada ya kutawazwa rasmi kuwa mrembo wa miss kitongoji cha Tabata, shindano hilo lilifanyika kwenye ukumbi wa Da´west Park, Tabata jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia jumamosi. Wengine pichani ni mshindi wa pili wa shindano hilo , Upendo Lema (kulia) pamoja na mshindi wa tatu, Rachel Mushi.
Wakuu wa kamati ya Miss Tanzania wakijadiliana jambo.
Le Mutuz na Majaji wengine wakikamilisha taratibu kabla ya kutaja mshindi
|
No comments:
Post a Comment