Saturday, 25 May 2013
YALE YALE! JE TUFANYEJE KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI? TUMA MAONI YAKO..
Ajali hii imetokea leo huko njia panda ya segerea, baada ya gari aina ya Fuso kumgonga Dereva wa pikipiki aliyekuwa anakatiza kwenye taa nyekundu.
Dereva wa Pikipiki akiugulia baada ya kuumia vibaya, akisubiri msaada wa kupelekwa hospitali.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment