Saturday, 25 May 2013
RAISI KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA UMOJA WA NCHI ZA AFRIKA HUKO ETHIOPIA.
Raisi Kikwete akiwa na viongozi mbalimbali wa nchi za Umoja wa Afrika(UA) wakitoa heshima zao kwa waliotangulia mbele ya haki katika sherehe za kuazimisha miaka 50 ya umoja huo, sherehe hizo zilifanyika katika Makao makuu ya umoja wa nchi za Afrika huko Addis Ababa Ethiopia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment