Wanafunzi wa shule ya Mapambano jijini, wakimsikiliza kwa makini mkuu wa kikosi cha usalama barabarani Tanzania Bw Mohamed Mpinga, akiwaelekeza mambo mbalimbali kuhusu suala la usalama barabarani katika wiki ya umoja wa mataifa ya nenda kwa usalama, inayoadhimishwa kuanzia mei 6 hadi mei 12.
No comments:
Post a Comment