Thursday, 30 May 2013
VIPO VIKUNDI VYA WATU VINAVYOTUMIA FURSA YA MAENDELEO YA TEKNOHAMA, KUTISHIA USALAMA WA TAIFA.
Serikali kupitia kwa Waziri Mkuu imekiri uwepo wa watu ama vikundi vya watu vinavyotumia fursa ya maendeleo ya teknohama kusambaza ujumbe ambao unatishia usalama na amani ya Taifa kutokana na baadhi yao kuitumia fursa hiyokusambaza ujumbe wa vitisho na chuki za kiimani.
Akiongea bungeni Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda katika kipindi cha maswali na majibu ya papo kwa hapo kwa waziri mkuu wakati akijibu swali la Mh James Mbatia aliyeitaka serikali kupiga marufuku matumizi hayo ili kuiepushanchi kuingia katika machafuko
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment