Mh, Rais Kikwete akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa kampeni ya kuongeza virutubisho vya Vitamin A katika vyakula vinavyotengenezwa viwandani. Uzinduzi ulifanyika katika mafuta cha BIDCO, kilichopo Mikocheni jijini Dar-es-salaam.
Raisi Kikwete, akimiminia mafuta yenye virutubisho katika kinu cha kutengenezea mafuta hayo, kama ishara ya uzinduzi rasmi wa kampeni ya virutubisho vya Vitamini A,katika vyakula vinavyozalishwa viwandani.
No comments:
Post a Comment