Pages
(Move to ...)
Home
About
Products
LIVE TV
Radio
Contact
▼
Tuesday, 28 May 2013
NENO LA LEO TOKA KWA MADAM RITHA PAULSEN
Hofu na uoga ni adui wetu
mkubwa. Jenga imani katika kila jambo ambalo unataka kufanya na tokomeza kabisa hofu na uoga ili upate mafanikio. Hofu ya wengi wetu ni ya kisaikolojia. Kuwa jasiri wa mambo yako na hakika utafanikiwa.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment