Pages

Thursday 23 May 2013

HALI INAVYOENDELEA HUKO MTWARA. BAADHI YA SEHEMU ZIMEANZA KUWA SHWARI, WAKATI MAENEO MENGINE HALI BADO MBAYA, WANACHI WENGINE WAKIMBILIA HOSPITAL WAKIHOFIA YA USALAMA WAO BAADA YA NYUMBA ZAO KUCHOMWA MOTO.








Pamoja na kuwa hali imeanza kuwa shwari na baadhi ya watu kuanza kuonekana mitaani,  bado kuna baadhi ya sehemu kama Magomeni hali bado ya utata, ambapo Mabomu yanaendelea kusikika na wananchi wa eneo hilo wamekimbilia Hospital wakihofia usalama wao ,  kutokana na nyumba zao kuchomwa moto. Aidha habari zinasema kuwa Mwanamke mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi katika vurugu hizo katika eneo la Magomeni. Shughuli zote za kijamii zimesimama,zikiwemo huduma kama za Benki , maduka n.k

No comments:

Post a Comment