![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgrPafzE69nsjb3GEpyxebVmZUIRyo8dovvC6OP5WycCIqWZxebg2stFUlxSCw9gNQQDxZfhbUqOHY_rNAB-UlAQ-hpylMX8HTIdTbL-LmueV5IPt_8JHbhn6AoHGDgHlKbAGHQW5jRyJE/s640/974992_525452924184701_1654023882_n.jpg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhZNWnc_ykXbEyt53FvDzdw2NHbA_Y5d3pUmfvI00SXFahdXEcgRtkTddhR-ErRjcFRej6BlnCjIXgEt5C7zMOJhiw2ddXhqD54SKRgMZfTenBnJlEWy0p5pJ9MANNSFjM0s0ZBK4crqn4/s640/mtwara.jpg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjCdSmMRDoaqDbxmcS4J_Yz01h5YTeuw2D2rlhNjhvKdmiNMW5gTCNiDiiNLWWxBUnMLEaOa9_lB1aXfGMNDze4dD4NuELA89_S3NM5Y7mO7M5Gh2Anl7HRdnPihlEEUES8EVL1F0VW1iA/s1600/975602_525452254184768_555502831_n.jpg)
Pamoja na kuwa hali imeanza kuwa shwari na baadhi ya watu kuanza kuonekana mitaani, bado kuna baadhi ya sehemu kama Magomeni hali bado ya utata, ambapo Mabomu yanaendelea kusikika na wananchi wa eneo hilo wamekimbilia Hospital wakihofia usalama wao , kutokana na nyumba zao kuchomwa moto. Aidha habari zinasema kuwa Mwanamke mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi katika vurugu hizo katika eneo la Magomeni. Shughuli zote za kijamii zimesimama,zikiwemo huduma kama za Benki , maduka n.k
No comments:
Post a Comment