Pages

Friday 3 May 2013

BANK YA BACLAY YACHANGIA SH MIL 61 KUSAIDIA VIJANA WALIOATHIRIKA NA VIRUSI VYA UKIMWI.

002Mkuu wa Mawasiliano na Huduma kwa Jamii wa Benki ya Barclays Tunu Kavishe,akikabidhi hundi ya Sh 61 Milioni kwa Mkurugenzi wa Mradi wa Chuo cha Utabibu  Baylor Dk Lumumba Mwita(kushoto)wakati wa makabidhiano yaliyofanyika  jijini Dar es Salaam jana,ambapo fedha hizo zitasaidia vijana wanaoishi na Virusi vya Ukimwi.

No comments:

Post a Comment