Sunday, 7 April 2013

WANAFUNZI TOKA RWANDA WAISHIO NCHINI KUADHIMISHA KUMBUKUMBU YA MAUAJI YA KIMBARI YALIYOTOKEA HUKO RWANDA MWAKA 1994.

Raia wa Rwanda waishio nchni kwa kushirikiana na wawakilishi wa taasisi za kimatifa na wanafunzi wa shule za sekondari wameandamana Kuadhimisha kumbukumbu ya 19 ya mauaji ya Kimbari yaliyofanyika nchini Rwanda na kuuwa watu zaidi ya laki nane wasio na hatia na wengine kuyakimbia makazi yao mwaka 1994

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!