Majeruhi wawili waliobanwa katika lori la mizigo katika ajali iliotokea eneo la Maseyu barabara ya Morogoro Chalinze wamefariki Dunia baada ya kuchelewa kuokolewa kwa zaidi ya masaa 16 kutokana na kukosekana kwa vifaa vya uokoaji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment