Wednesday 3 April 2013

PENDEZA KWA KILEMBA(GELE)

Gele huvaliwa na wanawake wa kiafrika kukamilisha vazi lao la kiafrika.Gele ni muhimu kwa wavaazi wa vitenge kwani hata kama nguo haivutii mwanamke hutokelezea akikamilisha vazi lake kwa gele.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!