Sunday 28 April 2013

NORWAY KUSAIDIA TANZANIA KATIKA UTAALAM WA UWEKEZAJI WA MAFUTA NA GESI



Serikali ya Norway imeahidi kusaidia Tanzania katika utaalam wa uwekezaji katika sekta za mafuta na gesi ambazo zimegundulika hivi karibuni nchini Tanzania ili sekta hizo zisaidie maendeleo ya wananchi wa Tanzania na taifa lao ingawa amesema faida hiyo ya gesi na mafuta kwa Tanzania itaanza kuonekana baada ya zaidi ya miaka 20 ijayo

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!