Tuesday, 2 April 2013

MBEYA KUNANI? BABA AMZIKA MWANAE AKIWA HAI, HUU NI UNYAMA GANI?

Mtoto Debora mwenye umri wa miaka( 3) enzi za uhai wake
Baba wa marehemu Riziki Mwangoka (kulia) ambaye anashutumiwa kwa kumzika mtoto wake akiwa hai.
Mwili wa mtoto Debora baada ya kufukuliwa kutoka kwenye nyumba ya baba yake.
Mama wa marehemu Debora(Easter Mwambenja) akielezea kwa uchungu kuhusu tukio hilo, nakwamba baba wa marehemu alikuwa akimuonyesha tabia za kikatili ikiwa ni pamoja na vitisho vya kumuua, mara baada ya kutengana, na kwamba kulikuwa na ugonvi mkubwa baina yao kuhusiana na mtoto Debora.

Mtuhumiwa akipelekwa kituo cha polisi huko tukuyu mbeya.

Mwili wa marehemu ukiwa tayari kwenda kuzikwa kihalali.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!