Mwili wa mtoto Ayoub Agen(6) ukiwa umebebwa toka katika chumba cha kuhifadhi maiti katika hospitali ya Rungwe
MATUKIO ya kutisha na ya kinyama dhidi ya watoto wadogo yameendelea kuutikisa Mkoa wa Mbeya, baada ya mwanafunzi wa chekechea, Ayoub Agen (6) kuuwa kwa kuchinjwa mithili ya kuku na wauaji kuondoka na kichwa chake
No comments:
Post a Comment