Monday, 29 April 2013
HUDUMA ZA NMB ZAZIDI KUWANUFAISHA WANANCHI.
Ofisa wa NMB, Tawi la NMB House bi Edith Mavura, akitoa maelekezo ya JISEVIE kwa wateja wa bank hiyo, waliojisajili kutumia NMB Mobile, huduma JISEVIE inamuwezesha mteja kupata huduma mahali popote bila kufika kwenye tawi la NMB.
Ofisa wa NMB tawi la Bank House bw Salvatory, akimwelekeza mteja kuhusu huduma hiyo ya JISEVIE, inavyotumika.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment