Wednesday 24 April 2013

HATUA MBALIMBALI ZILIZOCHUKULIWA KUHUSIANA NA MAKOSA MBALIMBALI YA JINAI ZAFAFANULIWA.






Kaimu mpelelezezi wa makosa ya jinai Bw Issaya Mngulu akizungumza na waandishi
wa habari Dar es Salaam jana (hawapo pichani) kuhusu hatua zilizo chukuliwa kutokana na matukio mbalimbali likiwemo  la kuvamiwa na kupigwa kwa muhariri mtendaji wa New habari  Absolom Kibanda.
Mpaka hivi sasa upelelezi wa kesi inayomkabili Bw.Wilfred Rwakatare pamoja na Ludovick Joseph umekamilika na jalada linaandaliwa kwenda kwa Mkurugenzi wa mashtaka(DPP)kwa hatua za ziada, na kwa upande wa kesi ya kumwagiwa Tindikali kada wa (CCM) Bw.Mussa Tesha katika uchaguzi mdogo wa Ubunge jimbo la Igunga Mkoa wa Tabora Septema 211,watuhumiwa  wawili tayari wameshafikishwa mahakamani na upelelezi upo katika hatua za mwisho endapo watabainika watuhumiwa wengine nao watafikishwa mahakamani alisema Issaya”

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!