Friday, 1 March 2013

WIMBO WA SIKU -AIFOLA KUTOKA KWA LINEX


Kumbe hata jina lake nilidanganywa
Nikajiona me ndio ninapendwa na siwezi achwa
Mwanamke mjinga ataivunja ndoa yake kwa mikono yake ye mwenyewe ye mwenyewe
Mwanaume mjinga ataivunja ndoa yake kwa mikono yake ye mwenyewe ye mwenyewe.........


UJUMBE MZITO KUTOKA KWA LINEX KWA WADAU WA SOPHIE MBEYU BLOG.PAMOJA SANAAAAAAAA!

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!