Saturday, 2 March 2013

WARUNDI WAISHIO ULAYA WAANZISHA CHAMA ILI KUWEZA KUWASAIDIA WALE WOTE AMBAO WANAOHITAJI MSAADA HASWA KWA WALE WALIOPO NCHINI BURUNDI.




Kwa heshima kubwa jana nilialikwa katika ufunguzi wa chama cha warudi waishio Sweden, lengo la chama hicho ni kutoa misaada kwa warundi wenzao ambao bado wako nchini Burundi, na hawana uwezo wa kujitimizia mahitaji yao ya kila siku kama elimu afya na malazi, pia wana lengo la kuwasaidia wale wote ambao wameathirika na virusi vya ukimwi.
Hii inanipa changamoto kuwa hata sisi watanzania tuishio nje tunatakiwa kuungana na kuanzisha vyama  kama hivyo, ili tuwasaidie wale wote wasiojiweza. NI HAYO WADAU TUIGE MIFANO....

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!