Friday 29 March 2013
RAIS ATEMBELEA KUJIONEA YALIYOJIRI MTAA WA INDIRA GANDHI..
Rais Jakaya Kikwete mchana huu ametembelea eneo lilipoanguka jengo la ghorofa 16 katika makutano ya Barabara ya Zanaki na Indra Ghandi na kuhimiza juhudi za uokoaji ziongozwe ili kuokoa maisha ya watu wanasadikiwa kuwa wapata 60 waliofukikwa ndani ya Kifusi.Tayari askari wa Jeshi la kujenga Taifa(JKT) na lile la Wananchi(JWTZ) wapatao 500 wako eneo la tukio katika juhudi za uokoaji.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment