Wednesday 27 March 2013

BINTI ABAKWA MPAKA KUFA HUKO NACHINGWEA LINDI

Binti aliyejulikana kwa jina la Mariam, alikutwa na mauti baada ya kubakwa na watu wasiojulikana, kwa habari tulizozipata zinasema marehemu  alikutwa na mkasa huo akitokea katika kumbi moja ya starehe huko nachingwea.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!