Wednesday, 24 May 2023

Inaonekana amekuwa na matatizo muda mrefu, hatimaye jana Joel kakatisha maisha yake kwa kujirusha kutoka ghorofani.

 

Wakati mwingine tunaweza kuwaona marafiki au jamaa zetu wana tabasamu usoni lakini mioyoni mwao wanavuja damu....

Magonjwa ya akili ni kama malaria..mtu huwezi kupona malaria kwa kukemea... lakini tofauti na malaria mtu anaweza kuwa na homa na anatapika, magonjwa ya akili anaweza asionekane kwa watu... ukisikia ndugu yako anakuambia haya maisha hayaelewi mshike mkono, madaktari wa magonjwa ya akili wapo na wanasaidia...!


Nionavyo mimi.

Serikali ingeanzisha kitengo cha kuwaona wataalam wa kisaikolojia kwenye hospital za Umma ama pia bima ikahusika ,, kuliko hivi sasa ni watu /taasisi binafsi na kuwaona ni gharama kubwa mno

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!