Friday, 14 April 2023

EX" wa Hakimi apigwa butwaa mahakamani

 

Katika hali ya kushangaza, inaelezwa aliyekuwa mke wa mchezaji wa klabu ya PSG, Achraf Hakimi ajulikanaye kwa jina la Hiba Abouk alifungua faili la talaka akitaka wagawane mali, samani na vitu vingine lakini baada ya kwenda Mahakamani ilionekana Hakimi hana kitu, kwenye mali zake zote alimwandikisha mama yake mzazi kama mrithi miaka mingi iliyopita.
Umejifunza nini hapa?

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!