Wednesday 24 August 2022

Mfundishe mwanao kuwa asile kisicho haki yake kwa dhulma

 

Mtoto huyu yupo zanzibar mitaa ya forodhani jana aliokota pochi ya rafiki yangu ina vitambulisho vyote na laki tatu na tickets za boat mbili lakini alipogundua ni sisi tulipoteza aliturudishia na vitu vyote vipo hakujapungua kitu na tulipojaribu kumpa hela ya Asante alikataa alijibu kuwa siyo haki yake ila anaomba anunuliwe chakula tu .#Nimejifunzakitu

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!