Pages

Thursday, 17 March 2022

KUMBUKIZI YA MWAKA MMOJA YA KIFO CHA RAIS MAGUFULI


Hayati John Pombe Magufuli alifariki Machi 17, 2021 kwa ugonjwa wa moyo ‘Atrial Fibrillation’ ktk Hospitali ya Mzena, Dar es Salaam

Rais Samia Suluhu ataongoza shughuli ya Kumbukizi ya Mwaka 1 itakayofanyika Chato, Mkoani Geita

No comments:

Post a Comment