Friday 12 February 2021

(COVID ATTACK LEVELS) Nimeitoa sehemu huenda ikasaidia! Ni katika kuelimishana



 Level 1 - Inatibika

Mwili kuchoka
Maumivu ya mwili mzima na viungo
Kichwa kuuma & Kizunguzungu

Level 2 - Inatibika
Kukosa hamu ya kula
Kushindwa kunusa harufu
Homa
Kikohozi
Kukosa pumzi (Kupumua kwa shida)
Level 3 - Hatari na ngumu kutibika
Kifua kubana
Makohozi yenye damu au njano nzito
Kushindwa kupumua (Kukosa hewa - unawekewa oxygen)
Homa kali
Mapafu kujaa maji (Pneumonia)
Kwa Level 1 & Level 2 dawa zifuatazo zimewasaidia wengi:
Azithromycin, Amoxillian&Clavunate Potassium, Junior Aspirin,
Ped zinc,
Vitamin C na
Prednisolne.
Tusisahau: Tangawizi,
Black seeds Malimao
vitunguu maji na vitunguu swaumu Kujifukiza.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!