2.Kufunga choo na utumbo kuziba ( unaweza kuhitaji upasuaji)
3.Kupata upungufu wa virutubishi na madini muhimu
4.Upungufu wa madini ya Potasium na kemikali zingine
5.Kuingiza sumu mwilini kutoka kwenye udongo hasa risasi, zebaki, arseniki na nyingine, hizi zina athari kwa mtoto
6.Kupata maambukizi ikiwemo minyoo, Toxoplasma, Toxocara
-Toxoplasma- inaweza kusababisha mimba kutoka mara kwa mara au kuzaa mtoto mwenye kasoro
7.Kupunguza ufanisi wa dawa kufanya kazi kama kuna dawa zozote umeandikiwa
No comments:
Post a Comment