Sunday 1 November 2020

JIFUNZE KUHUSU MAZOEZI NA AFYA YAKO

A. Mazoezi Ya Kuunguza Mafuta na Kupunguza Uzito

1. Kukimbia
2. Kuruka kamba
3. Kucheza Mziki
4. Kuogelea
5. Kuendesha Baiskeli
6. Michezo ya Ngumi na Sarakasi

B. Mazoezi Yanayo Ongeza misuli na Kuongeza Uzito (Lean mass)
1. Kunyanyua Chuma Kukuza Kifua
2. Kunyanyua Chuma kukuza Mabega na Mgongo
3. Kunyanyua Chuma Kukuza misuli ya Mikono Biceps na Triceps
4. Kunyanyua chuma kukuza Tako Mapaja na Hips.
.
Ukitaka Utengeneze Mwili mzuri na Umbo lako kwa sasa haliko vizuri kwa sababu ya Unene mkubwa sana. Nakushauri Uwe makini na unachokula kwa asilimia 95 na asilimia 5 uzingatia Mazoezi Kundi A.
.
Baada ya Kupungua vizuri ukafika target yako basi Anza Mazoezi ya Kundi B utatengeneza Mwili Mzuri mpaka Utashangaa.
.
Ukiruka hatua "Utakuwa baunsa tu lakini kale kashepu utakaona kwa wengine"
.
Unaweza kukosa Hamu ya Mazoezi hata wiki nzima Ila huwezi Kutokula wiki nzima. Hivyo kuwa makini na Unachokula. Zingatia Ubora.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!