Sunday 25 August 2019

Nini maoni yako? tukio ni la leo Jumapili 25/august 2019

Ajali hii imetokea Eneo la Machinjioni, Benako mkoani Kagera Kama unaenda Boda ya Rusumo, ambapo inasemekana kwamba lori la mafuta mali ya LAKE OIL limepata ajali na Mafuta yalimwagika.Hongera ofisi ya Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani wilaya ya Ngara kusaidia kuzuia balaa hapo. Ingawa inasemekana Dereva amefariki






No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!