Thursday 24 January 2019

Yatazame hapa matokeo ya Kidato cha Nne mwaka 2018

January 24 2019 Baraza la mitihani Tanzania ‘NECTA’ limetangaza matokeo ya kidato cha nne ‘CSEE 2018’ na matokeo ya mtihani wa maarifa (QT) 2018.
Kwa urahisi unaweza kuyaona matokeo ya kidato cha nne kwenye link iliyoandikwa ‘CSEE 2018’ >>>CSEE 2018


Kwa urahisi unaweza kuyaona matokeo ya kidato cha nne kwenye link iliyoandikwa ‘CSEE 2018>>CSEE 2018
Unaweza pia kuyatazama matokeo ya matokeo ya mtihani wa maarifa (QT) 2018 >>>(QT) 2018

CRD: MillardAyo.com

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!