Friday 21 September 2018

Bendera ya Taifa kupepea nusu mlingoti kwa siku 3 kuanzia kesho

Image may contain: 1 person, standing and suit
 Rais Magufuli ameagiza kuwa kufuatia ajali ya MV Nyerere, Bendera ya Taifa itapepea nusu mlingoti kwa siku tatu kuanzia kesho Septemba 22, 2018. Hadi sasa watu 131 wamepoteza maisha
R.I.P wapendwa wetu

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!