Tuesday, 22 May 2018

KUMBUKUMBU

Image may contain: outdoor and water
KUMBUKUMBU May 21, 1996, meli ya Mv Bukoba ilizama katika ziwa Victoria mkoani Mwanza na kuua watu zaidi ya 800.


Rais wa Tanzania wa awamu ya tatu Ndg. Benjamini William Mkapa, alitangaza siku 3 za maombolezo kwa taifa zima.
Miili ya watu iliyookolewa ziwani ilizikwa katika kaburi la pamoja huko Mwanza, ambapo pia mama mzazi wa mwanamitindo wa kimataifa Flaviana Matata ni miongoni mwa watu waliofariki kwenye ajali hiyo.
Image may contain: 2 people, people sitting
Image may contain: one or more people, people standing, sky, tree and outdoor

Image may contain: 3 people, people smiling, people standing, tree, child, shoes, outdoor and nature

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!