Friday, 9 March 2018

Hii imenisikitisha mnoo!


Kilichonishangaza kwanini wanahojiwa kama wezi au wauaji wakati hawa watu wanatakiwa kuelimishwa, sasa kama huyu binti mdogo sidhani kama anajua lolote,yeye kafanya kudanganywa tu maskini! Suala ni kwamba huyo anayewafanyia hiyo mipango ndio wakujibu yote haya, hii yote ni shida ya maisha hakuna anayependa kuhangaika

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!