Thursday 8 March 2018

Diamond-"Mungu anibariki mwaka huu nifanikishe ndoa yangu"


  • diamondplatnumzHappy Women's day Mama na wanawake wote Ulimwenguni... Nashkuru sana kwa kunizaa na kunilea...Wewe ni Mboni na Nguzo ya Maisha yangu mama...
  • Licha ya shida na Mateso uliyoyapata kwenye kunizaa na kunilea, lakini hata sasa ambapo ulitakiwa walau Upumzike nimekuwa nikikukosea kwa kukuingiza hata kwenye Matatizo Yasiyokuhusu...Wanakutukana, wanakukebehi na kukutupia kila neno lililo baya, yote kwa sababu yangu mimi, lakini sikuzote umekuwa mwenye kunisamehe, kunipenda na Kunithamini.....Nakupenda sana Mama, Na nisameh kwa yote nilokukosea... Inshaalah, Mwenyez Mungu anibariki Mwaka huu Mwanao nifanikishe Ndoa yangu na kukupa Furaha ya Milele ambayo siku zote umekuwa Ukiitaka..... @mama_dangote

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!