Akiongea na Bongo5, Meneja wa msanii huyo Dokta Ulimwengu ameeleza kuwa mpaka sasa Idris amepata shavu la kutokea katika filamu mbili za mamtoni.
“Idris alifanya audition zaidi ya mara moja na hakupata ila mara ya mwisho alipata, na mpaka sasa ameshafanya movie kama mbili yani kuna wandaaji wakubwa wa filamu tulikutana nao ZIFF na tukafanya mazungumzo nao,” amesema Ulimwengu.
No comments:
Post a Comment