Wednesday, 30 August 2017

Rais John Pombe Magufuli amesitisha zoezi la bomoabomoa ya nyumba 300

No automatic alt text available.
DAR: Rais John Pombe Magufuli amesitisha zoezi la bomoabomoa ya nyumba 300 zilizojengwa katika bonde la Tuangoma huko Temeke.
Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa akiwa kwenye mkutano wa dharura na wananchi mchana wa leo.
- Serikali imesisitiza kuwa zoezi hilo linapaswa kufanywa kwa kufuata taratibu na sheria

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!