Sunday, 16 July 2017

WAZIRI MWAKYEMBE AFIWA NA MKE WAKE

Image result for mwakyembe
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amepatwa na msiba mzito wa kufiwa na mkewe, Linah George Mwakyembe Jumamosi hii. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa inasema marehemu alilazwa katika hospitali ya Aga Khan ambapo alikuwa akipatiwa matibabu mpaka kifo kilipomfika

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!