Thursday, 6 July 2017

UPDATE: MSIBA WA MKONGWE WA MUZIKI MAREHEMU SHAABAN DEDE

 Image may contain: 1 person
Msiba upo nyumbani kwa marehemu Mtaa wa Congo na Msimbazi hapa Dar es salaam......
Kwa mujibu wa mwanae Hamad Dede mazishi yatafanyika kesho saa saba katika makaburi ya Kisutu..... Mwili utaswaliwa msikiti wa Makonde mtaa wa Msimbazi baada ya swalat Adhuhuri.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!